
Baada ya siku mbili kupita Arshan alikuwa kwenye duka moja la nguo za wanawake alikuwa akinunua nguo kwaajili ya Tamina mara wakitaka na Maria. " Oooh shemeji. Arshan alimuangalia kisha akavua miwani yake na kuishika mkononi. " Vipi? " Safi, sikutegemea kama ningekuwa hapa. " Namfanyia shopping mke wangu mtarajiwa. Maria aliguna alafu akasema " Ni huyo Tamina au? " Unafikiri atakuwa nani mwingine zaidi yake? " Sawa lakini kuna kitu ambacho hujui kumuhusu Tamina. " Kitu gani? " Tamina ni mdogo wangu nazijua sana tabia zake sijui kama mtawezana , Tamina ana tabia za unapata hajawahi kutulia na mwanaume
0 Comments