Unaikumbuka Clouds hii?

Unaikumbuka Clouds hii?

Asubuhi mnaamshwa na Power Breakfast ya moto unakutana na Barbra Hassam, Paul James na Gerrard Hando. Watu wamejaa wanatema madini hadi saa 4 kamili wanaaga. Saa 4 anakuja Dina Marious na jopo lake kwenye Leo Tena, pale unakutana na Geah Khabib na Mussa Hussein unapigwa sana umbea wa uhakika, zinagongwa chachandu la Leo Tena ilikuwa noma sana. Dina na wenzake wanakiwasha hadi saa 7 mchana wakitoka wao sasa ndio inakuja Show ya Nchi XXL oya hapa sasa Tanzania nzima ilisimama. B Dozen, DJ Fetty na Adam Mchovu mchanganyiko wao ulikuwa zaidi ya Messi, Iniesta na Xavi! inaanza Dozen Selection, zinakuja

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments