
kwa Kelvin, alijua akimchukua Ashura, Kelvin atachanganyikiwa alivyokuwa akichanganyikiwa, Ashura ni mke wa Ahmad, amekuwa akifanya hivyo na kumvuruga Kelvin, lakini kashangaa awamu hii, Ashura kakaa kwake toka siku ya tukio usiku, adi leo, Ahmad hajasumbua wala hata kumpigia simu ata mke wake kujua yuko wapi, ama kumtukana, alijikuta anapata hasira, nakuhisi huenda Ashura kashaachwa, na ili amguse Ahmad itabidi aanze kuniteka mimi, huenda ndo napendwa,alitaka anibake na vijana wake, na video amtumie Ahmad, ila kajikuta sasa hivi ananipenda, anashindwa kufanya ubaya kwangu.. Alijikaza nakupuuza maumivu, akaamua aondoke akaanzishe maisha na mimi nje ya nchi lakini nimemgomea na hicho ndicho
0 Comments