NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06) "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA ( 06)  "Unatumia mbinu gani kujua yaliyomo ndani ya moyo wa mtu....' Mike aliuliza

Ciara aliachia tabasamu kisha akautoa mkono wake kifuani kwa Mike "Sielewi inakuaje lakini muda mwingi macho yanazungumza ukweli..." "Kwahiyo utanipa K..." Ciara aliachia tabasamu kwa mara nyingine kutokana na swali aliloulizwa "Mimi ni Mtumwa wako sina jeuri ya kukataa nadhani ndio uliniambia hivi ile siku umeninunua" Vile Mike alikuwa katika hali ya matamanio, alimsogeza karibu Ciara wakaanza kubadilishana mate. Mlango ulikuwa umeegeshwa tu ile Suzy anaingia alishtuliwa na tendo lililokuwa linaendelea. Ilimlazimu kuomba msamaha kisha akasimama mlangoni kuweka Ulinzi. Sauti ya Mike akionekana kufurahia tendo ilipenya masikioni mwake. Kuna namna moyo wake uliumia lakini hakuwa na jinsi zaidi ya kuvumilia.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments