
Shikamoo madam .Naitwa Janeth ni mama wa watoto wawili samahani kwa kuja inbox kwako bila ridhaa yako ila mimi nina changamoto ni mama ambae ninajiuza ili familia yangu ile,isome ,tulipe kodi na maisha mengi kwa ujumla yaende imefika muda nimekuwa mlevi kabisa wa ngono,sitamani kabisa kuacha ila naumia sana ninapoona mabinti zangu wanakuwa wakiniona mama yao najidharirisha,maana nina binti mkubwa kwasasa wa miaka 8 ameshaanza kupata ufahamu maana kuna wakati nawatoa nje usiku ili niingize mwanaume ndani mpaka nimalizane nae ndo warudi ndani hii kitu imekuwa ikinitesa sana. Maana imefika muda naweza nikalala hata na wanaume saba kwa siku ili
0 Comments