
akiwa kasimama mbele yake tena akiwa na walinzi wakutosha........ ENDELEA NAYO... "Huwezi kuondoka kirahisi hivyo Yoashi, nilijua lazima Princess Miriamu akushauri wewe kutoroka......Prince Yoramu aliendelea kuongea......kitu usichokijua ni kuwa hisitoria yako yote naifahamu ndiyo mana sitaki kuona ukienda mbali na ufalme huu" Prince Yoramu aliongea maneno yaliyomfanya Yoashi mwenyewe ashangae na kumsogelea. Zilikuwa ni tarifa mpya kwake kwani ata yeye alikuwa hajui hisitoria ya maisha yake. "Nini unachoongea Prince...!?, naomba uniambie vizuri mimi ni nani na wazazi wangu wako wapi..!?" Yoashi alimuuliza lakini Prince Yoramu aliwageukia walinzi wake. "Mpelekeni ndani na muwe makini nae, hakikisheni hapati nafasi ya kutoroka kwenda
0 Comments