
Wengi wananiita Nuru,nuru......wengine huniita nuru mpenda mizigo huyooo ila sijali ilimradi yangu yananiendea tu. Siku moja nikaamua kutoka nnje walau ninyooshe nyooshe miguu nipate ahueni...mara nyingi hupendelea kukaa sana ndani....natokaga mara moja moja sana wakati wa mchana ila mara nyingi wakati wa usiku. "Nuru!!!nuru!!!!naona leo umwtukunbuka eeeeeh🙌"sauti za wadau wangu wa mitaani zilisikika zikizungumza...nikisema wadau namaanisha wanangu kindakindaki yaaani wale wa kuzaliwa kabisa. Sikutaka kuwaonesha maringo wala madharau niliwasogelea na kuongea mawili matatu kisha nikaondoka,sikuacha kuwaachia lawama kutokana na namna nimejaaliwa japo sijisifii ila ndo hivo yaani🤭. Haikuchukua muda nilifika.mahala husika nilipodhamiria kuwasili kwa siku ya leo. "Ooooh !kipenzi naona
0 Comments