BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona Japo unanificha mama yako kwa jambo kubwa kama hili labda unasubili mpaka tum

BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona Japo unanificha mama yako kwa jambo kubwa kama hili labda unasubili mpaka tumbo lionekane ndo uniambie kama ni mjamzito" Mama aliongea hayo mie huyo nisiangue kicheko. "Mama bhana umeanza mambo yako. Tangu lini nikakuficha mambo yangu na wewe ndo msiri wangu" "Sasa mbona hili umenificha ndo maana nasema labda unasubiri tumbo likuwe" "Ndo kwamba unamaanisha mimi huyu ni mjamzito?, mama bhana" "Una kichaa wewe?, hujui kama una mimba au unanizuga mbwa wewe. Mtu mzima dawa popote

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments