NDOA YA MIE : 10

NDOA YA MIE : 10

MTNZ: ZAMRATA MBWANA (ZM) NO: 0698095257 Tulipoishia ni Pale Juma anaumia sana baada ya Majibu ya Ndoa ya Zenafa Kukubaliwa.. Masiku Kazaa yalipita na Zenafa hakuwa na Furaha hata kidogo Kuhusu iyo Ndoa anayotaka Kuolewa Alitafuta Mda ambao Baba Yake Alikuwa kakaa Peke ake na Kumfata Zenafa : "Baba ni Kweli umekubali Kunitoa Sadaka Kisa tu Tamaa ya Pesa ?" Zenafa Aliongea huku Machozi yakianza Kumlenga Baba : "Zenafa Ayo Maneno Umeyatolea wapi ? " Baba Zenafa Aliongea kwa Ukali Kidogo kisha Akanyamaza Kimya na Kumuangalia Binti yake kwa Upole Baba : "Samahani Binti yangu. Haijalisha nilikuwa nakupiga Malangapi? Nimekufokea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments