SEHEMU YA TISA* SALMA MTAA WA SABA ❣️

SEHEMU YA TISA* SALMA MTAA WA SABA ❣️

" Mama yangu anaongea sana mzowee mama wa uswahilini maneno mengi. Fariss alitabasamu kisha akasema " Usijali kawaida , hata hivyo muda umeenda nataka kuondoka sasa. " Sawa twende nikusindikize. Fariss alijua Salma anataka kumsindikiza haraka ili aende kwenye ngoma. " Salma naondoka na najua unataka kwenda kwenye huo utamaduni wenu sasa nakuomba kuwa makini sitegemei kuona kitu cha ajabu kwenye mitandao ya kijamii pia naomba ujiheshimu wewe ni mwanamke wa mtu anaejielewa. " Sawa leo nitajishikilia kidogo hata hivyo sitaenda kukaa sana. Wakisindikizana mpaka barabarani Fariss akapanda kwenye gari yake akaondoka na Salma bila kupoteza muda alikimbilia kwenye shuhuri.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments