*SEKRETARI NANAH* SEHEMU YA 1️⃣4️⃣

*SEKRETARI NANAH*  SEHEMU YA  1️⃣4️⃣

Imeandikwa na Salma Rasheed Ramadhani Mawasiliano: 0763 595006 Kujiunga na Channel yangu ya WhatsApp : https://whatsapp.com/channel/0029Vb5TUYyG8l5677chYs0Y *ONYO* Hauruhusiwi kunakili simulizi, kufuta au kuongeza kitu chochote bila idhini yangu. KARIBU Shalha alibaki akiwa anamtizama Bieber na kushindwa kusema jambo. "Haya file la nini hili?" "Nimeleta sketch za design za nguo kwaajili ya event ya mwezi huu". "Sawa nitakagua kisha nitakujulisha". "Nimeambiwa umempa nafasi Nanah na yeye aandae". "Ndiyo" "Ndiyo?" Aliuliza Shalha kwa mshangao. "Ndiyo, kuna tatizo kwani?" "Unaulizaje kama kuna tatizo? Inamaana we huoni tatizo?" "Tatizo gani sasa?" Aliuliza Tena Bieber akimtizama kwa kutokutambua tatizo. "Sawa endelea ku ekti kama haunielewi.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments