
Alex alitulia pale kwa Dakk 20 zaidi Kisha akasogea Mpaka kwenye picha alichukua Zile Picha Na Kutimka Eneo lilee Alex Alivyofika Kweny Makazi yake Alitoa Zile Picha Kutazama Trisha ni nanii ?? Alex Alitoa Macho asiamin macho yake Bint alie mpamia Hasubuhi Ndie Bint anaetakiwa Kumuua Na Hapo Alex Alikumbuka Vizur Kuhusu mtu alieleta Picha Zile hapo Aliwaza Kati ya Yule Aliekua akiwapiga Picha Kwa kujificha na aliekua akimpga Picha wakiwa Wote Ni nani aliemuuza Bint?? Alikumbuka Siku ya Kwanza kumzimsha Yule Bint mtu aliempgia Simu Akaja Hapo ndo Alikumbuka ni yule Jamaa waliekuwa Wanapiga Pic Wote Alimsave (FUTURE HUSBAND)
0 Comments