NI WANGU PEKEANGU epsd 10

NI WANGU PEKEANGU epsd  10

Baada ya kikao kuisha Vanessa alielekea ofisini kwake na kuanza kupangilia kazi zake alizopewa na na baba zakiofis alipokea message kutoka kwa Franco kuwa anaitaji leo jioni wakapate chakula chajioni kama tim moja yakazi wajadili kuhusu kazi Vanessa hakua na chaguo aliitikia na baadae alienda nyumbani akajiandaa kisha alielekea kwenye hotel aliyokuwa ameelekezwa na alipofika alipokelewa na wahudumu kisha walimpeleka sehem ilikuwa special imeandaliwa kwa ajili yake na Franco mala alipokaa alitokea Franco akiwa avaa kapendeza na kapulizia marashi mazuri yaaani kiufupi alikuwa ananukia vizuri akakaa na kumuuliza vipi wamekusikiliza kinywaji Vanessa akaitikia ndio wananiletea Franco alimwambia umependeza sana Vanessa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments