NI WANGU PEKEANGU epsd 8.

NI WANGU PEKEANGU epsd  8.

Aliingia na kushangazwa kumkuta Franco akiwa sebreni kakaa na baba na mama wanazungumza tena wakiwa na furaha Vanessa alikasilika na kuingia moja kwa moja chumbani kwake baada ya muda dada wa kazi alikuja akagonga mlango na kumuita alipoitikia akamwambia unaitwa na mamaako Vanessa alijibu mwambie baadae kwa sasa naumwa kichwa Dada alienda nakumpa taarifa mama kuwa Vanessa anajisikia kuumwa na kichwa kwasasa hawezi kuja atakuja baadae Mama alimuitikia sawa muache apumzike Mala wakati kajipumzisha iliingia msg kuangalia ni Franco alimuandikia pole kipenzi pumzika utapona Vanessa alichukizwa na alitoka akakuta Franco kaondoka na kumfuata mamaake na kuanza kuongea nae Mama huyu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments