NI WANGU PEKEANGU epsd 12.

NI WANGU PEKEANGU epsd   12.

Walianza safari kuelekea dar walipanda ndege nakuwasili dar essalam baada ya muda walichukua gari mpaka nyumbani kwa kina Vanessa kisha walishuka wote nakuingia ndani Franco akiwa kabeba mabegi yote lakwake na la Vanessa mama alipowaona alifurahi na kuwakaribisha ndani karibuni vipenzi Vanessa alienda moja kwa moja kwa mama nakumkumbatia kisha alimbusu na kuingia ndani Franco pia alifikana kumsalimia mama alimkaribisha karibu ndani Franco na kuingia ndani Aliitwa dada wakazi njoo chukua begi la Vanessa na kisha mletee juice Franco baada ya muda Franco aliomba kuondoka mama akamwambia subili Vanessa msindikize Franco na gari mpaka kwao maana ndio katoka safari hana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments