NI WANGU PEKEANGU epsd 13.

NI WANGU PEKEANGU epsd 13.

Walianza safari kuelekea nyumbani kwa kina Vanessa walifika nyumbani nakisha waliagana kwa mabusu na romance zakutosha kisha waliagana na Vanessa kushuka kuelekea ndani Franco alikimbia na kumfungulia geti Vanessa alicheka na kufurahi kisha akambusu nakumwambia asante bwana mfalme Kisha akaingia ndani na kuelekea chumbani mama alimfuata Mama akamuuliza mwangu unafuraha sana niambie nini kinaendelea maishani mwako Vanessa akacheka nakumjibu mama hakika nahisi napaa, au natamani nipige kelele kwa raha hizi mama nimependa kweli sijawahi kupenda hivi mama. Mama akamjibu ninani huyo anaempa raha kama hizo bintiangu tafadhari niambie Vanessa akajibu mama ni Franco, Franco ndio mtu anaenifanya nijisikie hivi natamani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments