
Siku ya Franco kumtambulisha mpenzi wake ilifika na waliandaa chakula chajioni wakamkalibisha chaajabu walimuona Vanessa kaingia tena kwa mala yapili tena kwa ndugu wa Fred Mama akamuuliza Vanessa vipi zasiku karibu tinamgoja mchumba wa Franco aje Franco mbona kachelewa hivyo binti Franco akamjibu mama tayari aingia huyo hapo alie kalibu yako Mama akamwambia acha matani yako anachelewa bwana Franco akamwambia sio utani Vanessa ndio mchumba wangu na siku sionyingi namuoa Mama na Erica woote walipigwa na butwaa kulikoni Mama sasa inamaana wote wanangu mnampenda Vanessa pekee sio Erica akaguna nakusema ndiomaana sikuile sasa naanza kuelewa kaka Franco wewe sio kabisa
0 Comments