NI WANGU PEKEANGU epsd 15

NI WANGU PEKEANGU epsd  15

Franco alimwambia Fred hili sio kosa lake naomba ongea namimi Fred alijibu nataka kuongea na Vanessa sihitaji kuzungumza nawewe kwani wewe ninani umtetee eeh nimesema potea Franco akamshika Vanessa nakumwambia siko mbali ongea nae hawezi kukudhuru ok basi alijifanya anaondoka nakujificha sehem kidogo Fred alianza kumuuliza Vanessa kuwa tangulini umenidanganya juu ya uhusiano wako na Franco Vanessa alikaa kimya kidogo kisha akamjibj sijakudanganya huu usiano hauna muda tangu niende mombasa ndio ulipoana Fred alimuuliza tena tangu lini Franco anakutaka hujaniambia Vanessa akajibu hapo nilihofu kukijulisha hivyo niliona nipunguze kuja kwenu na niache mazoea Fred akamuuliza mbona umeamua kunisaliti na nduguyangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments