NI WANGU PEKEANGU epsd 3. Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu

NI WANGU PEKEANGU epsd 3.  Franco alipomtupia Vanessa kitandani akataka aje kwa juu

ya Vanessa mala mlango ulifunguliwa na akaingia Erica Franco alibaki kaduwaa kisha Vanessa aliinuka na kumkimbilia Erica Na Erica akauliza Franco unafanya nini humu kwa Fred kwani hujui kuwa ameshaanza chumbia tayari na mchumbaake huwa anakuja hapa Franco akajibu kuwa nilikuwa nakitu nimefuata bahati mbaya nimemkuta bi mrembo yupo humu kisha akajifanya samahani Vanessa kwa kuingia bila hodi Vanessa akamwambia kuwa hamna shida kwa uwoga kisha akamwambia vipi nikienda chumbani kwako Erica Erica alimwambia kuwa nisawa kipenzi Walichukuana nakwenda chumbani kwa Erica na kulala pamoja Asubuhi ilipofika Vanessa akaenda kukutana na Franco baada ya chai akamwambia aikuogopi nakuomba kaa mbali

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments