NILICHOKIONA KWENYE MECHI YA LIVERPOOL NA ARSENAL

NILICHOKIONA KWENYE MECHI YA LIVERPOOL NA ARSENAL

Mechi ilikuwa nzuri kiasi chake japo matarajio ya wengi imekuwa tofauti, imezoeleka mechi ya Liverpool na Arsenal inatoa magoli mengi cha ajabu limepatikana bao moja pekee. Kipindi cha Kwanza Arne Slot alimwachia mpira Mikel Arteta akitegemea Arsenal waharibu na yeye atumie nafasi hiyo kufanya shambulizi la kushtukiza. Mikel Arteta mwenyewe alikiri kwa kusema: "Liverpool haikuwa bora wala haikuunda hali zozote za hatari, wamekuwa na bahati kushinda mchezo." Kipindi cha Pili Mambo yalibadilika baada ya Alexis Mac Allister kutoka na nafasi yake kuchukuliwa na Curtis Jones. Kuanzia hapo, kiungo cha Liverpool kilitulia na wakaanza kutengeneza mashambulizi ya maana. Dominik Szoboszlai -

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments