
I Ilikua mwaka 2013, baada ya Nokia kutangazwa kuuzwa kwenye Kampuni ya Microsoft, mkurugenzi wa Nokia Stephen Elop wakati anamaliza Mkutano wake alinukuliwa akisema " hatujafanya chochote kibaya. Lakini kwa namna fulani tumepoteza kila kitu." Alipomaliza kusema maneno hayo aliangua kilio. Hata hivyo baada ya kupita mwaka mmoja aliweza kufukuzwa kazi Toka Kampuni ya Microsoft ambao walikua wanamiliki hisa kubwa. Toka miaka 1987 nokia alikua mzalishaji mkubwa wa aimu aliweza kuwa namba moja ulimwenguni asiyekua na mpinzani daima. Kumbuka nokia 6210 ilikua simu ya kipekee inaweza kukaa wiki mbili bila kuchajiwa. Lakini baada ya ujio wa Kampuni ya Samsung na
0 Comments