Nilikuwa nimelala fofofo, mpaka mke wangu akaanza kunipigia kelele akisema: “Amka ukapokee simu… tangu muda inaita haikati!”

Nilikuwa nimelala fofofo, mpaka mke wangu akaanza kunipigia kelele akisema: “Amka ukapokee simu… tangu muda inaita haikati!”

Nikafumbua macho kwa tabu nikamuuliza: “Saa ngapi sasa hivi?” Akasema: “Bado alfajiri haijatoka.” Nikakasirika nikasema: “Ni nani asiye na adabu kupiga simu muda kama huu?” Akasema: “Ni namba ya ajabu, lakini imeita zaidi ya mara ishirini!” Nikajibu: “Hakika hao ni vijana wajinga wanaocheza na namba za simu wakitarajia kwamba atapokea msichana… lakini naapa nitamkomesha!” Nikashika simu nikiwa tayari kumtukana, nikasikia sauti ninayoijua ikisema: “Asubuhi njema rafiki yangu, samahani kwa kukuamsha, lakini nahitaji msaada wako katika jambo muhimu lisiloweza kusubiri.” Nikamuuliza: “Asubuhi njema, lakini wewe ni nani? Namba hii siijui.” Akasema: “Mimi ni fulani.” Nikasema: “Pole sana ndugu yangu, samahani, mimi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments