MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PİLİ SEHEMU YA : 03

MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PİLİ   SEHEMU YA : 03

Nikajiangusha chini na kujifanya Kuwa nimepoteza fahamu 😂. “We mnuka jasho wa kimasikini nipe funguo niondoke” Alizungumza mume wangu uku akinitikisa kWa miguu. “Shamsa, sitaki drama mimi Sawa, na unanichelewesha ujue “ Alizungumza Hamad akiwa na hasira ya Mbogo. “Nitakupiga ujue “ Hamad aliendelea kulalamika na Mimi niliendelea kujifanya Kuwa nimezimia, gafla tu Hamad akavuta mkanda wake wa suruali na pasi na Kuwa na huruma yoyote ile juu yangu akanitandika nao mgongoni. Nyieeeeh 😂🙌 mkanda shikamoo, nilifurukuta pale chini Kama samaki aliyetolewa kwenye maji na kutupiwa nchi kavu Tena kwenye jua kali 😀. “Niue sasa, nimesema Niue “ Nilianza kulalamika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments