
narudi nyumbani mama ananiambia) " Vumi dada yako kapiga simu uwende mjini likizo hii na nauli ametuma. " Kweli mama. " Sasa nikutanie mwanangu. " Umeongea na baba. " Baba yako atasema nini akuzuie wewe kwenda kwa dada yako. " Baba mwaka Jana alinizuia ndio maana nakuuliza umemwambia baba. " Mwaka Jana ulikuwa unaumwa ndio maana alikuzuia ila mwaka huu upo na afya yako mwanangu anakuzuiaje? " Sawa mama acha nikawaage rafiki zangu. " Wee koma ukijui kijiji ichi wewe hapa ndio kazimzumbwi unaondoka kimya kimya. " Ila mama ndio nisimuage ata happy. " Sitaki Rudi ndani upumzike Kesho asubuhi
0 Comments