𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗜𝗔 𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗕𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 SEHEMU YA 17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida

𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗜𝗔 𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗕𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 SEHEMU YA  17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida

Nini yule dokta akaniambia . Hongera Mrs Alberto unatarajia kuleta new Mafia boss on our de casa ,mie nikawa simuelew ,najionea mauzauza tuu , Cjakaa sawa simu yangu ikaita namba ngeni nikapokea ,sauti iliosikika upande wa pili ilikuw ni ya mume wangu ambe cjaongea nae wiki ya pili sasa. Kuanza na kuanza akaniambia mke wangu hongera na Kwa kazi yako ulioifanya nimekupa zawadi ipo apo nje . iv jamn mnamuelewa uyu yan hii nilivofanya ni kazi wakat ni mtoto nimembeba Aya nikainuka iliniichungulie iyo zawad ya kaz yangu. Nikakuta gari aina ya Ferrari,siku furahishwa sana , nikamjibu tu asante na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments