
Jamani akanishika kwenye koo mimi nasema kimoyoni umu kuna maiti tu sasa nani kanifinya mimi koo. Nikaona hapa nipambane si kumwita tena kaka maana awezi kunisaidia uku mimi nipo ndani. Ile nataka nitumie nguvu sasa kumtoa mkono naona kaachia mkono wake alafu akapotea simuoni tena nyuma yangu. Nashangaa umeme umeludi na zile maiti zipo vile vile nasema kimoyoni hii kazi ngumu sijui kama nitaiweza. mara kaka anakuja ananiambia daudi fungua mlango mkubwa ule Leo umekuja na dhali. " mimi naenda kufungua mlango mkubwa kumbe maiti za ajari jamani kilichokuwa kinafanywa na kaka nikusachi zile maiti zilizoalibika ata sura aionekani. Ananiambia
0 Comments