BILIONEA NDANI YA HOTEL SEHEM YA 03

BILIONEA NDANI YA HOTEL  SEHEM YA 03

MWANDISHI ::HURU MEDIA Masha akabaki kufikiria kwa sec, msaidizi wa Mr Alberto akahisi kama hajatoa maelezo yanayo faaa Akamwambia tena " Naitwa Rahul ni Msaidizi wa Mr Alberto ,Anaomba Radhi kwa...." "Haina hajaa mwambie nimemsamehee lakini Kwa..yaan lazima police wajue " masha akaanza kulia Rahul akamchukua haraka akamuweka ndani ya gari akaanza kuongea nae sasa kwa utulivu huku anamuombea samahani Boss wake akamsihi sana masha asiende huko kumshtaki Rahul akamwambia Masha Alberto anasumbuliwa na ugonjwa wa hisia humkuta mara chache sana kwa miaka na hiyo ndio kama Tiba yake Masha akasema napata faida gani kama nisipo kwenda kushtakii?? Rahul akamwambia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments