NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 09..10. "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA  09..10.  "Vipi Mimi siyo Mwanaume nayefaa kwenye mizani yako?" Mike aliuliza

Ciara aliachia tabasamu, hakutaka kuonesha kuchanganyikiwa na wala hakutaka kuonesha kupuuzia alibakia kuwa vuguvugu "Nipe muda nifikirie kuhusu hili suala" "Muda?... usisahau kama nimekununua nina uwezo wa kufanya chochote kile bila kusubiria mtazamo wako" Ciara aliachia tabasamu kisha akaendelea kukunja nguo. Kila alipoinua macho yake alikutana na macho ya Mike Iliwachukua muda mrefu kumaliza kukunja nguo. "Ni saa kamili usiku, sijisikii kula chakula cha hapa naomba tutoke out kidogo na hata hivyo nina muda mrefu bila kula hotelini" Mike aliongea "Kuna ulazima wa Mimi kwenda?...." Ciara aliuliza kwa sababu alikuwa amechoka "Nitafurahi kama tutatoka wote...." Mike aliongea Ciara alienda chumbani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments