
ya Rabia na kuwaambia wakae nje wasubiri majibu!, Punde tu daktari aliwaita na kuwapa majibu "Binti hongera sana, afya yako ipo safi endelea kujilinda hivyohivyo!" Alisema daktari na palepale Bryton akimkumbatia Rabia kwa furaha kubwa kisha akambusu mdomoni. Rabia alijisikia fahari sana kwa namna ambavyo Bryton alikuwa akimjali. Walitoka pale hospitalini na kupitia Saloon, Bryton alitoa 30000 kwa msusi ili Rabia asukwe nywele, Zoezi hilo lilifanyika kwa haraka huku Bryton akimsubiria Rabia, alipomaliza kusukwa walitoka pale na kupitia hotelini. "Kula kabisa ushibe huku huku maana chakula cha nyumbani ni cha masimango na siku zote chakula cha masimango hakishibishi" " Bryton
0 Comments