NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU, BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE Episode 1

NILIVYOMPENDA MLINZI WA GETINI KWETU, BILA KUJUA NI BILIONEA ANAYETAFUTA MKE  Episode 1

"Norah, we Norah samahani kidogo" Alisema Prosper baada ya kufungua geti ili Norah mtoto bosi aingize gari ndani. Norah alishika Breki na kutoa kichwa nje ya kiyoocha gari. "Unasemaje wewe!" Aliuliza Norah kwa sauti kali. "Mbona mkali hivyo? Haya vipi sasa kuhusu lile jibu langu?" aliuliza Prosper. Ilibidi Norah atoke nje ya gari. "Hivi wewe Prosper una matatizo ya akili eeh" aliuliza Norah huku akiwa ameshika kiuno. "Inawezekana kwasababu matatizo yangu ya akili yanasababishwa na kukipenda wewe, nikubalie Norah" Alisema Prosper."Nahisi umevurugwa wewe sio bure yani mimi ndio wa kuwa mtu kama wewe, kazi yenyewe kufunga na kufungua geti" aliongea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments