MIMBA YA DHARURA 5

MIMBA YA DHARURA 5

Nadia alifika nyumbani kwao akapokea kwa furaha na wazazi wake. Baada ya wiki mbili kupita tangu Nadia arudi nyumbani kutoka vacation, maisha yake yalionekana kuendelea kama kawaida. Alijaribu kusahau kilichompata lakini moyoni mwake bado alihisi pengo kubwa maana hata mchumba wake alikuwa anajua yeye ni mwanamwari na hakujua anajibu nini siku alikutwa hana bikra. Siku moja jioni Nadia alikuwa jikoni akiandaa chakula cha usiku mama yake alimuita sebuleni. " Nadia mama.... " Abeee... " Bado haujamaliza kupika? " Nimemaliza namalizia kufuta futa. " Fanya uje nina maongezi na wewe . " Sawa. Baada ya dakika chache Nadia alienda sebleni alimkuta

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments