
Usiku usingizi haukuja Kabisa, nilikuwa nawaza huenda na huyu zakia alikiwa na shida na pesa wakapanga mipango yao kuja kupata pesaaa ,kwahiyo zakia kaja kutapeli tenaa?? Tulikaa siku mbili kuvuta subira lakini ilikuwa kimyaa, simu ya zakia haikuwa inapokelewa hata mara moja Basi ile siku ya tatu , inno alikuja kasi chumbani kwetu yaan mule nilikuwa nalala na Alex na ilikuwa usiku akasema simu ya Zakia leo imepokelewa lakini nimeambiwa yupo hospital alipata ajali Kila mtu alishtuka alex akasema piga embu ,inno akapiga Ilikuwa ni sauti ya kiume akasema zakia aliletwa hospital siku ya Jumatano mchana alikuwa kwenye hatari baada
0 Comments