USIINGIZE KWA HUKO JAMANI! SEHEMU YA (MWISHO)

USIINGIZE KWA HUKO JAMANI!  SEHEMU YA (MWISHO)

"Mwanaume hukuuu!" mmoja alipiga kelele kali, "We nawe nini hebu nyamaza huko" wenzake walimziba mdomo, huku wakinitazama yaani wale kumi na saba wengine ukiacha hawa watatu walioniingiza bwenini kimya kimya, bonge na wenzake "Jamani huyu mgeni wetu kwahiyo ninyi wala hawahusu sawa, fanyeni mambo yenu" bonge alisonya, "Kama hatuhusu tunamwambia mwalimu kuwa mmemwingiza mwanaume bwenini sasa hivi kabla ya kengele ya namba ya saa kumi na mbili kamili, sasa hivi saa kumi na nusu inaelekea saa kumi na moja, kwa hiyo mnasemaje?" mmoja kati ya wale kumi na saba alijibu "Hakuna asiye na hamu humu ndani, anayetaka apewe, asiyetaka alale

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments