
Inno akamsogelea Zakia ,zakia anatetemeka akasema akhaa mi sijawahi kumfanya kitu!! Mimi nasema hapana jamni ni huyo huyo ni zakia huyooo jamani sijui nimemkosea nini miee !!! Sasa zakia hofu ikamzidi ukimtazama tu unamuona anavyo babaika akaweweseka maneno anauma umaaa, Alex alimuweka bonge wa kibaoo akamwambia nakuuwa Hapo mkumbuke tupo private Room, wote tuliopo ni ndugu tu. Mama akamuwahi alex mama mkwe sasa mama yangu hakuwepo akamwambia alex we ni mjinga eeeh unampiga sasa kwa niniii??? Alex akamwambia mama niache mama ake akamwambia hapana lazima tuongee nae taratibu, zakia baada ya kuona mama anamtetea akaanza kulia anasema wema wangu tu
0 Comments