
Kodi na Tozo za Serikali Hii ndiyo sababu kubwa zaidi ya magari kuwa ghali Tanzania: Kodi ya Forodha (Import Duty) – Hii ni asilimia ya thamani ya gari (CIF value). VAT (Kodi ya Ongezeko la Thamani) Excise Duty – Kodi hii hutegemea aina ya gari, ukubwa wa injini na umri wake. Other fees: EWURA, TBS, na road safety fees. Mfano: Ukileta gari lililonunuliwa kwa USD 3,000, unaweza kulipa kodi zaidi ya milioni 6 hadi 8 TZS kutegemeana na umri wa gari na engine capacity. Gharama za Usafirishaji (Shipping Costs) Gari linahitaji kusafirishwa kutoka Ulaya hadi bandari ya Dar es Salaam.
0 Comments