
YA ZAMANI NA YA SASA HAYANA UTOFAUTI NA UMBALI WA MBINGU NA ARDHI AMBAZO DAIMA HAZIWEZI KUKUTANA Zamani, mapenzi yalijengwa juu ya uaminifu, uvumilivu, na heshima. Watu walithamini ahadi walizotoa, walikuwa tayari kupitia changamoto pamoja, na waliona thamani ya kujenga maisha ya pamoja polepole. Neno nakupenda lilikuwa halitumiwi ovyo kama linavyotumika saizi, subira ya miezi au miaka bila kuonana, na kujali hisia zaidi ya mali, vilikuwa msingi wa uhusiano. Ndo maana zamani watu walikuwa wanadumu ukiangalia ndoa za miaka ya nyuma mpaka leo bado zipo lakini ndoa za siku hizi leo tunasherekea kesho mtu anarudi kwao ..... Siku hizi, mapenzi
0 Comments