NIMEKUSAMEHE ILA SITASAHAU SEHEMU YA 01 "uuuwiiiii Diana mambo gani hayo ya kumwagiana maji mdogo wangu??!

NIMEKUSAMEHE ILA SITASAHAU  SEHEMU YA 01  "uuuwiiiii Diana mambo gani hayo ya kumwagiana maji mdogo wangu??!

" nililalamika lakini siyo kwa kumaanisha au kwa kutokupenda ila ni kwa sababu maji yalikuwa ya baridi aliyokuwa ananimwagia mdogo wangu Diana "hakuna cha mambo gani wala mambo gani hapa unaoga maji tu Happy birthday to you my sister!!" Diana aliniambia huku akinimwagia maji kwa mpira alioninyang'anya wakati nikiwa namwagilia bustani asubuhi, mimi mwenyewe sikukumbuka kama ni siku yangu ya kuzaliwa, niliamka tu na kuanza shughuli zangu za kila siku, Diana mdogo wangu aliyekuwa amejiandaa kwenda chuoni ndiye aliyenikumbusha kama kuna sikukuu yangu ya kuzaliwa leo "kumbe ni my birthday leo uuwiii jamani nimesahau kabisa mdogo wangu asante!" nilimwambia nikitaka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments