NIMEKUSAMEHE ILA SITOSAHAU SEHEMU YA 02

NIMEKUSAMEHE ILA SITOSAHAU  SEHEMU YA 02

WHATSAPP 0675137453 FULL STORY TSH1000 "unasemaje sijakuelewa?" nilimwuliza Magreth "nimesema hivi mbona jana nimemkuta mdogo wako na shemeji yake kwenye mazingira yasiyoeleweka" "mdogo wangu gani?" "kwani una wadogo wangapi hapa mjini Rebecca unaoishi nao?" "nina mdogo wangu mmoja tu, Diana" "basi huyo huyo" "mazingira yasiyoeleweka kama yapi?" "eeh wewe chunguza tu mwenyewe sitaki kufungwa mie bure" "hujaachaga tu uchonganishi Margrth rafiki yangu unakumbuka ulitaka kusababisha ndoa ya mzee wa kanisa yule mama kuvunjika kanisani?" "lakini si lilikuwa la kweli lile jambo nililoongea Rebecca au nilikosea jamani kuufichua ukweli?" "umewafananisha tu mdogo wangu Diana alikuwa chuoni kwenye sherehe na rafiki zake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments