NIMEKUSAMEHE ILA SITASAHAU SEHEMU YA 03

NIMEKUSAMEHE ILA SITASAHAU  SEHEMU YA 03

WHATSAPP 0675137453 FULL STORY TSH1000 TU (VIPANDE 50) "kinini hiko unachokitazama" alinifuata na kuninyang'anya haraka haraka mkononi mpaka nikaingiwa na wasiwasi "mme wangu umenunua simu kwani?" "wewe unataka ujue ili iweje, sijanunua" "mh sasa hizi earphones na maelekezo ni ya nini?" "sasa mbona una haraka Rebecca si usubiri au umesahau leo ni siku gani jamani?" "halafu sipendi unavyoniita Rebecca mimi ni nani wako kwani?" "aah nisamehe mke wangu kipenzi wakati mwingine nalimisi jina lako halisi nililolizoea wakati ule kama sijakuoa mmwaaah" alinijibu na kunibusu shavuni nikatabasamu "utakula, nikutengenezee nini?" "nimeshiba, nitasubiri cha jioni tu mke wangu" alinijibu na muda huohuo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments