πŸ”₯πŸ”ž NIMEMF🀐..LA MKE MDOGO KUMKOMOA MAMA YANGU MZAZI πŸ”žπŸ”₯ sehemu ya 24

πŸ”₯πŸ”ž  NIMEMF🀐..LA MKE MDOGO KUMKOMOA MAMA YANGU MZAZI πŸ”žπŸ”₯  sehemu ya 24

( CHONDE CHONDE SIO SHABIKI WA CHOMBEZO USISOME) πŸ‘‰ Nikampa na mimi ngumi moja ya nguvu, Mjomba chini, Dah yani...πŸ‘‡ Aliangukia kisogo mjomba hapo hapo akakata moto, Mshenga alipiga kelele za kuita watu, Mimi nishapagawa nakuta nimezungukwa na watu na atimaye wagambo waliokoa maisha yangu nikapelekwa police, Mama alizimia, Shangazi alitoloka na mtoto, Jamani nimepata kesi ya kuua yani ujinga umezaa matatizo kwenye maisha yangu, Nilikuwa Nalia mwenyewe lumande kwanini nimeua kwanini nimefikia hapa mimi, Nawaza nawazua najikuta NALIA tu, Mtuumiwa mwenzangu aliniuliza, " Unalia nini? " Nilimwambia istoriya ya maisha yangu yote akaniambia, " Wewe ulikosa msimamo kwenye maisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments