
( CHONDE CHONDE SIO SHABIKI WA CHOMBEZO USISOME) π Uku ndugu wa mke wa mchongo wananisubiri kwa hamu kwanini nimemtia maladhi ndugu yao, Dah yani...π Jamani nafika stendi tu kijijini napokewa na ngumi kutoka kwa kaka wa mke wa mchongo, Mimi sijajianda na chochote nakuta nimewekwa mtama yani nipo chini, Mke Wangu wa mchongo anazuia ndugu zake wasinipige, Hapo hapo amejinyea na nzi awana dogo hao wanamfata matakoni, Yani waliniokoa abilia wenzangu, Na nikakimbizwa hospital maana nilidondoka vibaya, Sasa wakati nipo hospital walionipeleka kupata taharifa yangu mimi nimepigwa kwa sababu gani walijirahumu mbele yangu wanasema, " Watu kama hawa ndio
0 Comments