NIMEZAMA💋💋💋💋22.

NIMEZAMA💋💋💋💋22.

Niliogopa kumwambia Robby kuhusiana na Lulu ......Kaka Robby takuja usiku ngoja niende nikasaide kazi kidogo kule jikoni.... nilimwambia......hapana mama jikoni siyo jukumu lako kule kunamuhusu Mwaj na mama Lulu Tu ....wewe ni Mimi kwahyo relax hapa........daaaah🤔 nifanyeje.....bas nikakaa pale kifuani huku nikiwa sina Amani kabisa......ikafika saa tisa nikaskia naitwa huko nje🤣..... sikitu sikitu ukowapi sikitu.....alikuwa ni Lulu ......Robby akasikia naitwa.....yupo huku .....akaitikia🤣......hapo Mimi mkojo unagonga pichu naogopa balaaa....yaan nlikua namuogopa Lulu kuliko hata boss wangu mama Lulu.......Yuko wapi huyo....akauliza Lulu......Robby akajibu Yuko huku chumbani kwangu....chumbani? Lulu akashangaa....bas akaja mpaka pale mlangoni akagonga....usiingie tuna maongezi private kidogo ....Robby akajibu........maongezi gani hayo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments