NIMEZAMA 21

NIMEZAMA 21

Basi nilipoisoma Ile masg nikatamani kujibu lkn sikua najua jinsi ya kuandika kwenye simu ....basi nikamjibu tu moyoni....sawa Mme wangu 😇.....hili jina mume wangu nalipenda Sana Ila naona haya kumuita Robby aibu hahahahaha.........bas nikiwa pale chumbani mlango ukagongwa nikaenda kufungua.......mbona unavaa nguo za mitego hivo? Hujui kuwa hii ni familia ya kisabato......tafadhali jitahidi kuendana na hii familia sawa 🙆... ...alikuwa ni Lulu ......sawa dada hamna shida........kitu kingine ukitaka kumhudumia Robby mlete huku sebuleni usimfate kule chumbani kwake unamfataje mwanaume chumbani ukiwa na vinguo vinakubana kiasi hicho? Aliniuliza........hapo akili yangu yoote imeshapotea nawaza tu jinsi ya kufukuzwa kazi maana tayari nimeshagundua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments