*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17 Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* .Chapter 17  Siku zilipita na mipango ya ndoaa ilitimia niliolewa maan ndoa

ilikuwa haraka na nilijua kutunzwa mimi kwenye hyo send off ila muda wote huoo hatukuuwa tunajuaa kuwa Suzy yupo wapi kabisaa maan hadi kwenye harusi hakuja yeye wala ndugu zake hii siku nililia kweli yaani nililia mnoo maan ndio nilikiwa namuacha baba yangu nililiia mimi duuuh nilihuzunika sana yaani Nilitoka hapo nikapelekwa kwa mume wangu maan kesho tuna trip ya kwemda honey moon London safari aligharamiaa mama yangu mkwee hii siku sikutaka kukutana na mume wangu kabisa nilikuwaa najuaa nitaumiaa kama mara ya kwanza na hiyo safari haitooondoka baada ya hili tungeenda kazini ila mme wangu alinipa na mimi kampuni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments