
Hashihii jamaaani slow down be by hoooshii...👇 Nilimfata mume wangu kwa hasira ila akaniambia) " Wewe nani kakuruhusu utembee saizi. " Mume wangu acha kuniona mtoto kumbe unatoka na pili komwe. ( Pili akadakia) " Komwe Simi lako mume akiwa ndani akitoka nje si wako nenda uko sura una tako una una una. ( Yani anajifanya kama vile mama amina ananiletea pigo za nyodo..mume wangu akaniambia) " Nenda nyumbani usitake nikupige hapa nenda fasta nyumbani. ( Niliondoka uku nimeumia Moyoni nafika nyumbani Shemeji yeye yupo bize na mbwa namwadisia akaniambia) " Tulia. ( Dk tano mume wangu anakuja ananifokea) ."
0 Comments