
"Boss vitu vyako hivi hapa. Alisema Rose huku anamuangalia boss usoni bila kummaliza. "Vipi mbona unaniangalia sana ? Umeleta viti vyangu si uende unataka kushuhudia nini? Rose aliondoka lakini alipofika kwa wenzake akaanza kusimulia alichoagizwa na boss. "Jamani huko sasa mkae mkao wa kula nahisi boss kashafsnya yake, nianze kuandaa na baby show nahisi Romex junior anakuja. "Wewe Rose wewe hebu achaga umbea basi. Sio umbea jamani ninachokiongea ni ukweli mtupu. Boss katika kujitafutia vitu vya udambu udambu na udongo juu. Wenzake waliangaliana kwa mshangao. Kwahiyo huo udambu udambu na udongo anakula nani? Sijui huenda tabia za mimba na dalili
0 Comments