
Nangu ndio beki sahihi wa kucheza na Rushine De Reuck sababu sifa zao zitafanya wawe na muungano mzuri yaani wana complement each other kwa kiswahili (wanakamilishana) bila shaka natumai kumuona sana Nangu kwenye first eleven 🔥
Yaani kikosi cha Simba kikitulia kocha anayekuja akiwa anawaza mpira tu saa 24 basi ndio wanaenda kuwa na kikosi kikubwa zaidi.
Soma zaidi
0 Comments