Chombezo : Demu Mwenye Uboo Ka Baba Ngida Sehemu Ya Kwanza (1) IMEANDIKWA NA : JUMA MWAMASAGE Ema ni kijana wa kiume aliyezaliwa Pongwa mkoani dodoma.Wazazi

Chombezo : Demu Mwenye Uboo Ka Baba Ngida   Sehemu Ya Kwanza (1)  IMEANDIKWA NA : JUMA MWAMASAGE   Ema ni kijana wa kiume aliyezaliwa Pongwa mkoani dodoma.Wazazi

walimpenda sana na kumpeleka shule ila alipofika darasa la saba balehe ilianza kumnyemelea ndipo matiti yakaanza kumtoka kumbe masikini alizaliwa akiwa na homoni za kike.Marafiki zake wakaanza kumcheka na kumtenga na kumuita shoga hali hiyo haikumpendeza Ema hivyo alipinga kuendelea na masomo na kugoma kutoka nje kwani imekuwa kero mama alijaribu kumbembeleza ila baba alimsapoti baba aliona kuliko mwanaye aende shule akadhalilike kwa kuitwa shoga bora abaki nyumbani ili watafute utaratibu wa kumsaidia.Pia baba alihofia mwanaye anaweza akawa shoga kweli baadaye maana homoni za kike baadaye zitamsumbua na hatahitaji mwanaume wa kumsugua.Baba alianza kutafuta namna ya kumsaidia mwanaye kupitia mahospitali

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments