ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni. Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio

ONE NIGHT ONE MISTAKE Chapter 12 Romex alibaki kaduwaa huku macho yake yakiwa kwenye zile hereni.  Hili linawezekana vipi? Kwahiyo salsa ndio

mwanamke niliekuwa nae ule usiku? Na aliingiaje kwenye chumba changu cha hoteli? Romex alijiuliza maswali mengi huku akiwa kwenye mshituko mkubwa sana. Wakati bado inashikilia zile hereni mara Lilian aliingia na kusogea mpaka karibu yake lakini Romex kwakuwa alikuwa mbali kimawazo hakuweza kushirika mpaka pale Lilian aliposema. Waoooo hereni nzuri sana bila shaka umenunua kwaajili yangu. Romex alizifunga kwenye kiganja chake cha mkono, Lilian alikaa pembeni yake "Mbona inaonekana una mawazo sana? "Sawa ila nataka kujua unachoweza. "Mawazo ni kawaida kwa mwanadamu. Ni mambo yangu binafsi. Romex alikuwa anajibu kwa mkato. "Naomba nione hizo hereni. "Sio zako niliokota kwenye lift

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments