⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page ya watu wazima ZAWADI Sehemu ya 12

Simulizi za john 0789 824 178 , 1000 Nilikosa pozi, nikashindwa kujibu. Lakini nikawaza, “Namuogopa nini? Mumewe natembea naye, na hawezi mrudia.” Nikasema, “Nilitaka kujua kama wapo.” Akasonya, akarudi jikoni. Nikapanda chumbani, nikampigia Neema, nikamweleza. Akasema, “Amerudi? Mwambie Scott amtimue!” Nikasema, “Powa.” Nikampigia Scott, akapokea, akasema, “Nambie, bby.” Nikasema, “Bby, nimetoka kununua nguo, narudi, nimemkuta Mama Zawadi yupo.” Akasema, “Amerudi kwa ajili ya watoto.” Nikasema, “Mbona hujaniambia?” Akasema, “Huoni watoto wanalia, wanamtaka?” Nikasema, “Nimeona, lakini kuna ubaya?” Akasema, “Hapana, hakuna ubaya. Nina kazi, nitakucheki baadaye.” Akakata. Nilishangaa—majibu gani haya? Ananipenda kweli? Nikampigia Neema, nikamwambia. Akasema, “Mambo ya wazazi hayaeleweki, angalia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments